Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Zaidi ya kusikitisha ndugu Mbaga, ila weka uchawa wako wa ccm pembeni 😀Inasikitisha sana
Ni huzuni kubwa ndugu Mshana, ni uchafuzi na sio uchaguzi huu nduguYaani Yanga anaingia uwanjani bila SimbaView attachment 3460564
Tindo, kwa kweli huu ni uchaguzi wa hovyo kabisa , yaani kama Lissu angekuwepo at least tungefurahia kampeni za uchaguzi tofauti ilivyo hivi sasaYaani kwa jinsi nilivyopuuza hizi chaguzi za kishenzi, hata muda wa kufuatilia hizo kampeni sina. Ni kampeni zinaowagusa wanaccm tu, maana hata vyama vingine vinavyoshiriki ni matawi yake.
Mm sio chadema wala sio ccm, tatizo lenu watu wa JF mnataka kila mtu aongee mnayotaka kuyasikia.Zaidi ya kusikitisha ndugu Mbaga, ila weka uchawa wako wa ccm pembeni 😀
Hao madishi yameyumbachadema bana, si mulijitoa wenyewe, sasa munalalamika nini
Ndugu yangu Mbaga,kwani huoni uovu na ukiukwaji wa kanuni za kidemokrasia na kikatiba kutoka CCM, ukiacha unafki na uongo CCM wanatawala kimabavu na sio jambo la msingi kwenye utawala wa kidemokrasia, CHADEMA ni wahanga wa kidemokrasiaMm sio chadema wala sio ccm, tatizo lenu watu wa JF mnataka kila mtu aongee mnayotaka kuyasikia.
Chadema haipo na uchaguzi ni kama haupo nduguIsingekua jf mpaka dakika hii nisingekua hata ninajua kama kampeni zishaanza
Tatizo lenu tukiwachana ccm Hua mnasoma na kupita kimya kimya ila tukiwachana chadema ndo inawauma sana hadi mnakariri watu.Ndugu yangu Mbaga,kwani huoni uovu na ukiukwaji wa kanuni za kidemokrasia na kikatiba kutoka CCM, ukiacha unafki na uongo CCM wanatawala kimabavu na sio jambo la msingi kwenye utawala wa kidemokrasia, CHADEMA ni wahanga wa kidemokrasia
Wewe ni Simba then refa ni Ally Kamwe na mnacheza na Yanga, Je? Utacheza ndugu?chadema bana, si mulijitoa wenyewe, sasa munalalamika nini
Oktoba haifiki ndugu SexlessBahati nzuri ni kwamba haifiki February 2026 tutakuwa tumepata ukombozi thabiti na uchaguzi wa kidemokrasia utafanyika.
Unazo akili ila unajifanya hunazo, ccm ni takatakaHao madishi yameyumba
Lini umewachana ccm ndugu Mbaga Jr? Shusha Uzi wako ukiwachana ccmTatizo lenu tukiwachana ccm Hua mnasoma na kupita kimya kimya ila tukiwachana chadema ndo inawauma sana hadi mnakariri watu.
Tulia.
Hakuna uchaguziNimejaribu kuangalia mijadala ya wagombea wa Chama Chaumma(CHAUMMA), CUF, na AAFP, nikiri kuwa ukosefu wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA), kumefanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa Moja ya chaguzi za hovyo tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe,
Nakiri kuwa Tundu Antipas Lissu na John Wegesa Heche ni miongoni mwa wanasiasa wenye hoja mtambuka zenye kugusa maisha ya wananchi na pengine ni wagombea wenye ushawishi zaidi ambao kwa kukosa kwetu demokrasia madhubuti basi tumekosa michango yao madhubuti na jadidifu kuelekea uchaguzi ambao pengine ni uchaguzi wa hovyo zaidi kuwahi kutokea tangu mfumo wa vyama vingi uingie nchini Tanzania
Kwa kweli ni huzuni kubwa kwa taifa letu changa la Tanzania.