Elections 2015 Uchaguzi CCM: Mambo matano mabaya Magufuli akiwa rais

ukielewa kwamba CCM ni taasisi na sio chama cha mtu mmoja hupaswi kuwa na wasiwasi kama ulionao,we unadhani yule mgombea mwenza alimchagua yeye?je ni kweli kwamba katika wanachama wooote wale yule tu ndo anafaa kuwa mgombea mwenza?kile ni chama ambacho kila kitu kinafanywa kimkakati,na ndio maana wamekuja na suprise ambayo hakuna aliyekuwa akiitegemea.
 
Unashauri tupige kura ya HAPANA au umetoa kasoro zake...kwani hii nchi anaiongoza pekee yake achakumchafua mweshimiwa pombe ....sasa mi naiman naye 98% atatutpeleka kule tunapohiji...pôle lakin
 

No 1. Na no.2 linaingia direct kwenye issue ya psychology. Kumbe ni hulka, kipsychology ni namba nzuri na yenye kujiamini, na pia ni determined person, perfectionist. Ni hulka moja na Mzee Mkapa kumbe ulivyoona Tabia ya mkapa ni namba ile ile. Hata HAKI NI Watu WA HAKI. Take care.
 
Watanzania wenzangu, nawaombeni tumpe kura ya "HAPANA" ndugu John Pombe Magufuli kwa sababu anatokea kwenye chama kilichooza na kuvunda kwa uchafu.
Tusidanganyike kama yaliyotukuta 2005 kwa kuamini kwamba JK ni chaguo la Mungu, matokeo yake amewafanya wapambe wake na familia yake mamilionea wa kutupwa.
Kuna watu wanasema CCM sasa wamepata jembe, hayo maneno sijui wanayatoa wapi. Huyu Magufuli ana mapungufu ktk utendaji wake wa kazi, tunakumbuka alivyouza nyumba za serikali kwa ndugu zake na mahawara. Akiwa rais itakuwaje?
 

Mbona Maelezo yote ya kupinga magufuli yanajichanganya. Wengine wanasema hatakuwa na msimamo ,wengine wanasema hashauliki ana misimamo mikali. Yaani ili mradi kuchafua. Magufuli ataongoza vizuri tu waulize watendaji wizara ya ujenzi na wizara ya mifugo na uvuvi. Sio mtu wa kutumwa kama watu wanavyo dhani ni mtu mwenye msimamo waulize TRA kama hawaujui mziki wake. Sasa watu matumbo joto hakuna cha kujuana chini ya magufuli. Wanao mfahamu vizur wanakwambia magufuli ni mkali lakini hata kama mtu ana haki yake anampa. Viongozi wa umma wajiandae kula, vijana wategemee mabadiliko ya haraka na ya kasi zaidi.
 
Uchambuzi mdhaifu wa ki itikadi.....!!! No one is perfecT...!!!
''Perfection is not attainable but if we chase perfection we can attain exelence''
pamoja na kua magufuli sio perfect ila he is exelent...! Kwa sababu alitafuta sana perfection...!!
 

..tatizo ni chama chake ccm.

..halafu magufuli ameshasema, "ccm kwanza, nchi baadaye."

..mpaka hapo utaona kwamba kumbe na yeye ni walewale.
 
..tatizo ni chama chake ccm.

..halafu magufuli ameshasema, "ccm kwanza, nchi baadaye."

..mpaka hapo utaona kwamba kumbe na yeye ni walewale.

Magufuli hakusema hivo, alisema chama kwanza , na Tanzania kwanza. Jamani mbona watu mko bias. Au labda uliambiwa hukumsikia vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…