Uchaguzi chama cha Waalimu(Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita) utakuwa mgumu sana

Uchaguzi chama cha Waalimu(Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita) utakuwa mgumu sana

Mwalimu Mlaki

Member
Joined
Feb 11, 2015
Posts
62
Reaction score
8
Nimefuatilia kwa makini sana zoezi la ujazaji wa fomu za kugombea uwakilishi nafasi tofauti katika Wilaya ya Mbogwe nilichogundua uchaguzi huo utakuwa ni mgumu sana na utatawaliwa na kuchafuana kwa wagombea.

Mimi pia nimejaza fomu ya kuomba nafasi ya uwakilishi waalimu(Sekondari) ngazi ya Wilaya.
 
Mwalimu Mlaki said:
Niliangalia kwa makini kama umeandika mambo ya maana sana kumbe ni huu upuuzi

nikuulize mwl? kwa hiyo we lengo lako hasa nini kuleta hapa mezani!

maana naona ka we utakua umeona umeandika ya maana et?
 
Back
Top Bottom