Uchaguzi cuhasso.

Uchaguzi cuhasso.

nyamakonge

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
363
Reaction score
131
Uchaguzi mkuu wa viongoz wa cuhasso bugando unatarajiwa kukamilshwa j2.wagombea wa kamb zote wanahaha kuweka mambo sawa.mchuano ni kati ya AGUSTINO MSONGE<MD2> na MUSA MDEDE<MD3> mpaka sasa MSONGE anaonyesha dalili zote za kukubalika ndan ya jumuia.
 
Back
Top Bottom