nyamakonge JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 363 Reaction score 131 Jun 13, 2013 #1 Uchaguzi mkuu wa viongoz wa cuhasso bugando unatarajiwa kukamilshwa j2.wagombea wa kamb zote wanahaha kuweka mambo sawa.mchuano ni kati ya AGUSTINO MSONGE<MD2> na MUSA MDEDE<MD3> mpaka sasa MSONGE anaonyesha dalili zote za kukubalika ndan ya jumuia.
Uchaguzi mkuu wa viongoz wa cuhasso bugando unatarajiwa kukamilshwa j2.wagombea wa kamb zote wanahaha kuweka mambo sawa.mchuano ni kati ya AGUSTINO MSONGE<MD2> na MUSA MDEDE<MD3> mpaka sasa MSONGE anaonyesha dalili zote za kukubalika ndan ya jumuia.