Uchaguzi DARUSO: Ni CHADEMA vs CCM?

Kampeni zimeharbk baada mgombea kutoka coet kupanda jukwaani.....
Amezomewa watu wametoka nje ya ukumbi........
Kampeni zimeisha vby sn....
 
mleta thread.. title haiendani na content.. kama huna taarifa waachie wenye taarifa waanzishe uzi.
"dont rush to nothng"
 
Taarifa nilizozipata ni kwamba mgombea wa CCM ni Yasini Athuman ambaye anasoma Engineering. Mgombea wa CDM ni Egidy Mkolwe ambaye ni mwaka wa tatu Law ( LLB). Kinyan'ganyiro kimeshaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…