Elections 2010 Uchaguzi huu unawafanya watu wasahau walipo!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Jana nilikuw ambezi beach nikawa napita nikawaona ccm wacheche wamekusanyika mahali nikajua nimambo ya uchaghuzi kumbe Kikwete alikuwepo nikauliza ninitena barabarani wakati kuna viwanja vingi??Jamaa akasema anafungua Tawi la wakeleketwa wa ccm!1Nikauliza kweli Rais wanchi anaweza kufungua Tawi la wakereketwa kwenye road reserve??Wakati anaona wanakata miti kwa ajili yakupitisha grader??Au alikuwa anawadanganya machinga pale??kwani barabara ya new bagamoyo watu walishaambiwa kutoka kupisha ujenzi!!
Nikajiuliza Nikuchoka kwa kampeni??sijaelewa alikuwa na maana gani je Dar es salaam hakuna wana ccm??maana wachacheee!!nikalinganisha na picha za TBC nikawa na wasi wasi!Sijaelewa!!
 
mhhh mpaka uchaguzi uishe ndo selikali itafanya kazi yake saizi ipo bize na uchaguzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…