Elections 2010 Uchaguzi igunga; CCM kuibuka kidedea

takeurabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2011
Posts
255
Reaction score
38
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa kama ifuatavyo:

1. Mgombea wa CCM atapata= 67%

2. Mgombea wa CUF atapata= 23%

3. Mgombea wa CHADEMA atapata= 8%

4. Wagombea wa vyama vingine watapata kwa ujumla wao = 2%

HONGERA SANA CCM!!! PLOLENI SANA MAGWANDA KWA KULIZWA KWA MARA NYINGINE TENA!
 

Kwa kuchakachua na kupiga watu mabomu ya machozi na hata kuua na kisha kunyakua masanduku ya kura kwa nguvu na kukimbia nayo ndivyo itakavyokuwa!

Tofauti ya hapo, hiyo 67% ni ya Chadema!
 
Ndivyo mlivyopanga kuchakachua au!, Safari hii mmechemsha.
 
Safari hii alizwi mtu bwana bongolala.
 
Hayo maoni yako wapelekee wapiga Moshi a.k.a Gongo.
 
mh!! hii mechi ina vituko kuliko ya simba na yanga...
 

kura za misikitini hizo.
 
hapa hakuna demokrasia,kuna watu bila hoja wanasema CCM itashinda na wengine bila chembe ya hoja pia wanasema CDM itashinda. muwe mnaweka hoja, kutabiri maana yake nini?? wengine hatuna vyama tunatazama sera,bila hoja hamuwezi kutushawishi tupigie chama gani. ndimi mwana IGUNGA.
 

Wewe kuku kweli,unatumia vigezo gani kusema hvyo? Ainisha ni nguvu ya namna gani? Unawaza kwa kutumia m.a.k.a.l.i.o
 

Mara ya kwanza kulizwa ni wapi? Manake sisi ndo tumezidi kupata mafanikio,ninyi CCM ndo mnalia.
 

Acha kutania watu hapa JF,Wewe haupo Igunga wala nini
 
Sijajua vigezo ulivyotumia ktk utabiri wako hivyo siwe commenti kitu.
 

Kitu huyu jamaa anachofanya nikuwaandaa wananchi ili wakubali matokeo,manake uchakachuaji umeshafanyika kwa hiyo anachofanya huyo jamaa anapiga propaganda ili kuwateka watu kisaikolojia wasistuke matokeo yatakapo tangazwa.
 
Wewe kuku kweli,unatumia vigezo gani kusema hvyo? Ainisha ni nguvu ya namna gani? Unawaza kwa kutumia m.a.k.a.l.i.o

Kawaida ya chadema..hamuwezi hoja, kazi kutukana tu! Hebu jiangalie mtu mzima upupu uliouandika hapo juu
 
mbivu na mbichi ni leo tuache kupiga ramli.
 
kura za misikitini hizo.
sasa mambo ya misikiti yanatoka wapi mkuu? hiyo roho mbaya na chuki dhidi ya uislamu zitatupeleka pabaya na tukifikia huko kama wewe utapona nina uhakika baadhi katika familia au ukoo wenu wataathirika. heshimu mawazo ya watu mkuu kama hukubaliani nayo pinga kwa hoja na siyo kuamsha adrenaline za watu hapa
 
mmeshachakachua na mmepanga matokeo yawe hivo eeh....dawa yenu inachemka..
 
Kama ni kweli...Hongereni in advance na after matokeo kutoka tusonge mbele Igunga imetawala JF for too long
 

Mwalimu wako wa kiswahili unamkumbuka barabara? au umeshashahau hata kiswahili kama ni lugha ya wabongo! Unatoa maoni.. then unatabiri.. kipi ni kipi.. shauri lako kuchanganyikiwa kubaya, mwanzako CCM-b jana kahitimisha kwa kumiminia wapiga kura wake makonde kavukavu.

Mahona ile michezo ya kunyanyua viroba vya kg20 bado inakusumbua babaee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…