LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Kawaida ya chadema..hamuwezi hoja, kazi kutukana tu! Hebu jiangalie mtu mzima upupu uliouandika hapo juu
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa kama ifuatavyo:
1. Mgombea wa CCM atapata= 67%
2. Mgombea wa CUF atapata= 23%
3. Mgombea wa CHADEMA atapata= 8%
4. Wagombea wa vyama vingine watapata kwa ujumla wao = 2%
HONGERA SANA CCM!!! PLOLENI SANA MAGWANDA KWA KULIZWA KWA MARA NYINGINE TENA!

sasa mambo ya misikiti yanatoka wapi mkuu? hiyo roho mbaya na chuki dhidi ya uislamu zitatupeleka pabaya na tukifikia huko kama wewe utapona nina uhakika baadhi katika familia au ukoo wenu wataathirika. heshimu mawazo ya watu mkuu kama hukubaliani nayo pinga kwa hoja na siyo kuamsha adrenaline za watu hapa
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa kama ifuatavyo:
1. Mgombea wa CCM atapata= 67%
2. Mgombea wa CUF atapata= 23%
3. Mgombea wa CHADEMA atapata= 8%
4. Wagombea wa vyama vingine watapata kwa ujumla wao = 2%
HONGERA SANA CCM!!! PLOLENI SANA MAGWANDA KWA KULIZWA KWA MARA NYINGINE TENA!
wee ndo huna hoja, just jockshapa hakuna demokrasia,kuna watu bila hoja wanasema CCM itashinda na wengine bila chembe ya hoja pia wanasema CDM itashinda. muwe mnaweka hoja, kutabiri maana yake nini?? wengine hatuna vyama tunatazama sera,bila hoja hamuwezi kutushawishi tupigie chama gani. ndimi mwana IGUNGA.
Wewe ni mgonjwa mkuu...........
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
Ndo nini??Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!