Elections 2010 Uchaguzi igunga; CCM kuibuka kidedea

Wewe ni mpiga ramli! ni kitu gani kitaifanya ccm ipate ushindi huo kwa wana Igunga? leo hii watu wameamka sio wakati wa alua na T-shirt za klijani! Hebu tuwaachie watu wa Igunga wafanye maaamuzi wao wenyewe---------
 

Hii post mods hawajaiona nini?!! manake mie kusema "kwa picha ninazoziona ch10, CHADEMA kwishaaaa!", mods wameiondoa hiyo post!!!!!! nimejaribu kuisoma zaidi ya mara kumi huku nikiangalia na lugha niliyotumia lakini bado cjaona kilichowafanya waheshiwa hawa waiondoe hiyo post!!! Kama NEC wanatakiwa kupunguziwa madaraka basi wa mwanzo wanaotakiwa kujipunguzia madaraka ni mods wa JF!
 
Kwa hiyo unamaanisha mmesha andaa kura hewa tayari?
 
Ita waandishi wa habari wewe na mkapa mtangaze sasa hivi mnasubiri nini?
 
Kwa kuchakachua na kupiga watu mabomu ya machozi na hata kuua na kisha kunyakua masanduku ya kura kwa nguvu na kukimbia nayo ndivyo itakavyokuwa! Tofauti ya hapo, hiyo 67% ni ya Chadema!

Kihalali CHADEMA WAMESHASHINDA KWA %60 zilizobaki wanagawana wanandoa.
 

We ni juha kabisa picha ulizoziona wapiga kura wamevaa kofia za kijani?
 
heading na story havina coordination kabisa

Mtoa mada utadhani ni mwandishi wa habari? Anajitahidi kutengeneza heading ili kushawishi watu kusoma habari yake. Nafikiri hapa JF unawakilisha kitu kama kilivyo watu wanajadili.
Kuhusu mada ni sawa kama Mh. alivyokuwa nasema maana ni kampeni, na alitakiwa kuvutia kwake. Kwani ulitaka aseme CCM itashindwa kwa hiyo wawe tayari kwa matokeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…