Uchaguzi Kenya 2017: Kampuni iliomsaidia Trump ''yamfanyia kazi'' rais Kenyatta.

Uchaguzi Kenya 2017: Kampuni iliomsaidia Trump ''yamfanyia kazi'' rais Kenyatta.

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,648
Reaction score
18,742
Kampuni moja ya data ya mitandaoni iliomfanyia kazi Donald Trump na ambayo ilitumika katika kampeni za Brexit sasa imeripotiwa kumfanyia kazi rais wa Kenya Uhuru Kenyatta. Lengo la Cambridge Analytica ni wazi.
Katika Mtandao wake kampuni hiyo inasema inatumia data kubadili tabia ya wateja wake. Kampuni hiyo ilio kodishwa na kundi la
kampeni za rais Trump imepongezwa
kwa ushindi wa rais huyo. Kampuni hiyo inanunua na kukusanya data kuhusu wapiga kura ikiwemo historia ya utumizi wao wa mtandao, mahali walipo pamoja na 'Likes' zao {wanachopenda} katika mtandao wa
facebook. Rais Uhuru Kenyatta aionya mahakama Donald Trump na Uhuru Kenyatta wazu ngumza kwa Simu Uhuru Kenyatta: Vifaa vya uchaguzi vilikuwa vichache Katika mtandao wake, Cambridge Analytica inadai kukusanya maeneo 5,000 ya data miongoni mwa wapiga
kura milioni 320 wa Marekani. Zina pochanganywa pamoja na utafiti
unaofanywa, Cambridge Analytica
inaweza kutumia data hiyo kutoa ujumbe muhimu kwa wapiga kura.

Source: bbc
 
Back
Top Bottom