Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Labda nikwambie kitu ambacho ulikua hukijui zuku kwa tanzania amefeli hapa kuna ushindani mkubwa ni azam tv na startimes basi hahhaahahhhahhah
 
lewis mbona unapiga blabla?.timiza kwanza assignment ndogo niliyokupa halafu tutarudi kusoma "hiyo ujinga wako hapo juu".[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1. Zuku Fiber
A cable network currently available only in Nairobi and Mombasa .This platform supports broadband, pay-tv and telephony services through a single cable into customers’ homes. Residential speeds are currently up to 250 Mbps the FASTEST INTERNET SPEED in EAST AFRICA. The inclusion of high quality voice services with FREE UNLIMITED LOCAL ON-NET PHONE CALLS is another FIRST ON THE CONTINENT available only in Nairobi, Mombasa and Dar es Salaam.
 
aina hiyo ya lens kwa east Africa sipo mbili tu.na zote zinamilikiwa na azam TV.dadadeki....wanamchezea mzee bakhresa hawa.yule mzee sio MTU aisee.halafu hizo lens ni expensive mno.pesa yake ni balaaa.
Hahhahhaha huu mwaka niliwaambia mbaya kwao
 
hii ni childs play ukilinganisha na za Kenya...kumbuka sijaweka KBC, Ebru TV,KTN 2 na kadhalika....yaani mpaka kuna stesheni za kila kabila etc (Kikuyu, Meru) yaani tuseme azam tv ndio imejaribu...hii hapa enru tv

Azam tunayoijua sisi waKenya ni juice peke yake. The only product from Tz that penetrated the Kenyan market. But bado zinauzwa kwa streets, hauezi zipata kwa supermarkets. Hio azam ingine ni hatuitambui. Hapa ni Zuku na Netflix peke yake
 
sitaki blah blah nyingi. tuma io slum ina-house azam juice

jay456watt join Lewis to complete the assignment I have given him above.seems he can't do it alone.support him please.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Azam tunayoijua sisi waKenya ni juice peke yake. The only product from Tz that penetrated the Kenyan market. But bado zinauzwa kwa streets, hauezi zipata kwa supermarkets. Hio azam ingine ni hatuitambui. Hapa ni Zuku na Netflix peke yake
Nilipoenda Mombasa nilishangaa kuona nyumba nyingi zimetundikwa dish za azam nilifurahi sana
 
hii ni childs play ukilinganisha na za Kenya...kumbuka sijaweka KBC, Ebru TV,KTN 2 na kadhalika....yaani mpaka kuna stesheni za kila kabila etc (Kikuyu, Meru) yaani tuseme azam tv ndio imejaribu...hii hapa enru tv

Rudi juu nimekuongezea clouds TV hahahhahaha hutoki wewe leo
 
jay456watt join Lewis to complete the assignment I have given him above.seems he can't do it alone.support him please.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
what kind of assignment is this? tujadili vitu vya msingi...
 
Nilipoenda Mombasa nilishangaa kuona nyumba nyingi zimetundikwa dish za azam nilifurahi sana
Haujawai fika Mombasa. As a matter of fact, no one asked you if you've been to Mombasa. Hujawai toka nje ya Manzese
 
Rudi juu nimekuongezea clouds TV hahahhahaha hutoki wewe leo
mna Tv stations za kuhesabika...lol!! hapa mpaka tuna international TV station...CGTN China Globa News Network Africa...they are only two offices in Africa, Johannesburg and Nairobi

Coke studio was In Nairobi...hehe
nyie mnaweza host any international event?....zenyu za watanzania pekee...zetu za global my frend...tanzania kwanza hata haitambuliki duniani....wazungu wengi huwa wanadhani tanzania ni mji uliopo ndani ya Kenya...hii hapa coke studio Naiorib...the other one is in Johannesburg
 
what kind of assignment is this? tujadili vitu vya msingi...
ati camera maan. hawa watu ni vituko. izo vitu hutumika kubroadcast live football matches of which Kpl inabroadcastiwa na Multichoice-Dstv.
 
Hahhahhaha huu mwaka niliwaambia mbaya kwao
Kweli 2017 sio mwaka wa baraka kwa wakenya.

halafu hapa kwenye hii thread lazima niwachape bakora nyingi,topic naimudu vizuri.

ni field yangu niliyosomea na kubobea kwa miaka mingi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zakuhesabu enhhhh
Azam TV , itv ,Chanel ten, clouds TV, star TV, TV imaan, etc jipe moyo hivo vivo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
In essence, Tanzania ni kama tu Mombasa pekee yake...ukija Nairobi, Kisumu, Eldoret sasa hapo ndio utashangazwa...Tanzania mashambani heheh
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
what kind of assignment?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…