Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Huyu jamaa hatarudi tena. Atajificha kwa aibu. Akirudi atakuja na story mpya ya kuhusu barabara.
 
Iyo camera niya sh 20 million na mkenya amewin juzi sh221 million anaeza waongezea engine kama mnabambika nazo
bare in your mind $200000 is just a price of canon digisuper lens.it needs a professional broadcasting camera to handle a digisuper lens and a professional tripod to carry a full set of a toy.

both a professional broadcasting camera and professional broadcasting tripod cost more thsn $150000.tafakari.

kuhusu huyo mkenya wenyu aliyeshinda pesa za bahati nasibu,mwambieni hiyo pesa apeane kwa TV stations za kenya wananunue modern outside broadcasting facilities kama hizi hapa chini.TV za Kenya hawana hizi facilities.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


 
Huyu jamaa hatarudi tena. Atajificha kwa aibu. Akirudi atakuja na story mpya ya kuhusu barabara.
Mimi napenda aendelee ku- comment,japo anacho comment ni nonsense ila inaisaidia kufanya thread kuwa active.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Price yake ni 20 million period nye nye!!!!! Wachia vuvuzela
 
Sportpesa ina sponsor hull city...ina partnership na Arsenal na Southampton...... Na tayari wazungu wanabet wakitumia sportpesa UK...alafu mnakuja kuringia camera ya 20 million...????????????
ni kweli tunaringa na sio siri tunaringa hasa.
tunaringa kwasababu tv station zote za kenya hawana digisuper lens.azam tv ya tz inazo mbili.moja tz,nyingine Uganda.

pia kenya hamna modern outside broadcasting facilities kama azam tv ya tz.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sawa endelleeni kuringa na iyo staff ya 20 million
 

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Sawa endelleeni kuringa na iyo staff ya 20 million
najua una kichwa kizito kuelewa,ila nita jitahidi kukuradhimisha kuelewa.nikishindwa nitawaachia vijana wangu machachari Annael na ichoboy01 wamalizane na wewe.
 
Signs za kuishiwa...ka unasheherekea ki2 ya 20m nikama kusheherekea ranger over vogue
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

povuuuuuu....leta picha ya digisuper lens kenya.since last month nawadai.bado mnaendelea kutafuta?
Aii dstv hu broadcast kpl live in HD...zuku huleta Rugby live unadani wanatumia simu ya infinix...kuna vi2 zingine wakenya hawawezi shinda wakizichapa picha ka izo...sh 20m????????????
 
Huwa nashangaa sana nikiwatch Tanzania tv(eatv,clouds, itv), very poor video quality. Sijui hizi majisifa ni za nini..you have a very long way to go ikifika kwa media
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

Povuuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkenya Jana amewin sh84m mid week jackpot ya sportpesa last week ni sh221m na sh 41m unakuja kusema upuzi ya digisuper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…