Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

leteni link ya mlipotoa hiyo picha...pia leteni picha tatu au zaidi tofauti tofauti za digisuper lens.

kwanini mna rotate picha moja tu kila siku?.


Umeanza umama sasa...picha umepewa
Unaanza Tena kulialia unadhani Zuku niya somalia???? Kwanza hii ya zuku ni canon digisuper 86 yenu ni 76...na una kelele za vuvuzela
 
Jamaa unachekesha kabisa. Hapo kenya ni atawi tu. Kwa Africa HQ ni Tz.
issue ya digisuper inawatesa sana mioyoni mwao.wameamua kurepost ile picha ya ku-crop ambayo niliwahi ikataa wiki kadhaa zilizopita.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si lazima Ukubali but hiyo ni digisuper lens
I need to see 3 or 4 different photos of digisuper lens being used in kenya.hiyo picha haionyeshi hapo ni kenya.

zuku ina ofisi tz kenya na ug.hapo si kenya,hapo ni Uganda.na hiyo digisuper ni ya azam TV Uganda.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
na hamuwezi kua nayoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Nikutumia link mara ngapi? Sasa rudi kwenye mada. Leta vifaa TV Station
hawawezi kuleta,vifaa vyao vingi ni vya analog version( outdated equipment). digisuper tu inawatesa mwezi mzima sasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hawawezi kuleta,vifaa vyao vingi ni vya analog version( outdated equipment). digisuper tu inawatesa mwezi mzima sasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
alafu wanjala anatunisha mishipa anakwambia tanzania iko nyuma sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ anaota bado tanzania ya 90s
 
HD outside broadcasting luxury bus and a van.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…