Kenya 2022 Uchaguzi kwaa majirani zetu tangu kampeni hadi uchaguzi kuna mtu kafungwa, kutekwa, kubambikiwa kesi na hata kupigwa risasi? Je leo internet imezimwa?

Kenya 2022 General Election

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Ustaarabu unapimwa kwa mambo mengi. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu kiwango cha maendeleo ya binadamu hupimwa kwa maendeleo ya ustaarabu, utu, kuthamini uhai na ustawi wa binadamu mwenzake.

Wale tuliofatilia kuanzia mchakato wa kampeni, kupitishwa wagombea na hata leo Uchaguzi mkuu ni wazi tutasema kwa kauli moja tuna la kujifunza.

Kenya iko level nyingine kabisa ya kiwango cha siasa za kidemokrasia. Sijui majirani Uganda na Rwanda wanajifunza nini.

Itoshe kusema tu Kenya wako mbele mile 1000
 
Ustaarabu unapimwa kwa mambo mengi. Tangu kuumwa kwa ulimwengu kiwango cha maendeleo ya binadamu hupimwa kwa maendeleo yanustaarabu, utu, kuthamini uhai na ustawi wa binadamu mwenzake.

Wale tuliofatilia kuanzia mchakato wa kampeni, kupitishwa wagombea na hata leo Uchaguzi mkuu ni wazi tutasema kwa kauli moja tuna la kujifunza.

Kenya iki level nyingine kabisa ya kiwango cha siasa z kidemokrasia. Sijui majirani Uganda na Rwanda wanajifunza nini.

Itoshe kusema tu Kenya wako mbele mile 1000
Je kuna polisi huko kabeba masanduku ya kura?
 
Kuhusu kubambikiwa Kesi wengi tu wamebambikiwa, haswa wale walio kinyume na mrengo wa Azimio la Umoja, bahati nzuri mahakama ipo huru hivyo basi kesi nyingi zikifika mahakamani zinaisha/zinatupiliwa mbali. Taasisi inayotumiwa kihuni na serikali ni DCI.
🤣🤣🤣je kuna wagombea waliporwa fomu zao mbele ya ofisi za wasimamizi wa uchaguzi?
 
Bado uchaguzi haujamaliziki. But tunawaombea amani
Tayari wameanza vizuri hadi sasa wako vizuri.

Oktoba 2020 muda kama huu vilisharipotiwa vifo kadhaa na watu kukatqa maskio na wengine kusukumwa lupango.
 
Ustaarabu unapimwa kwa mambo mengi. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu kiwango cha maendeleo ya binadamu hupimwa kwa maendeleo ya ustaarabu, utu, kuthamini uhai na ustawi wa binadamu mwenzake.

Wale tuliofatilia kuanzia mchakato wa kampeni, kupitishwa wagombea na hata leo Uchaguzi mkuu ni wazi tutasema kwa kauli moja tuna la kujifunza.

Kenya iko level nyingine kabisa ya kiwango cha siasa za kidemokrasia. Sijui majirani Uganda na Rwanda wanajifunza nini.

Itoshe kusema tu Kenya wako mbele mile 1000
Tz ndio ina maviongozi majinga Sana!
 
Ndio maana uchumi wao uko vizuri
 
Back
Top Bottom