Elections 2010 Uchaguzi Majimbo 7: Chadema Kupoteza Jimbo? CUF + 3, CCM+4!

Mpanda kati lazima Pinda atachakachua matokeo kama alivyofanya sumbawanga mjini. period!!!! asipofanya hivyo u-PM asahau

Haki ya nani CHADEMA lazima tuwatume maintelijensia wote kwenye hizo chaguzi, hasa maeneo ya Nkenge, Mpanda Mjini na Mpanda vijijini. Kuhusu Majimbo ya Zanzibar CUF kama kawa!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…