Mwafrika huyo.... anafikiri US ni shithole kama yeye.Hii mada umeandika ukiwa unavuka barabara nini
Ndo na mim nashangaa hapaIlikuwaje washangiliaji wa "domoklaats" wakasema Republicans hawajashinda kivile?
Mbona amesita kutangaza kugombea Urais 2024?
System inamuogopa sana Trump, wanajua ana support kubwa sana ya wamarekani ukiachana na data zinazopikwa na cnn na ggogle aonekane hapendwi, kwa mara nyingine tena Trump kafumua mshono kajibu kwa vitendo baada ya asilimia 95% a wagombea aliowapendekeza kuchukua ushindi, Jeshi hili la wafuasi wake wanamuongezea morali zaidi kurudi white house mwaka 2024.
Kuna uwezekano mkubwa pia Trump apewe kitu cha uspika
Mbona amesita kutangaza kugombea Urais 2024?