Nimekutana na hiyo heading kwenye gazeti la Nipashe na inavyoonekana chama cha CUF kinajiamini kusimamisha mgombea atakayeshinda kirahisi endapo kitaungwa mkono na vyama vingine, Nabaki kujiuliza ni nani huyo watamsimamisha awagalagaze hao watani wa jadi? anayejua hebu atupe jina la mtarajiwa kutoka CUF tujadili kwa kina jamvini,