Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga: Kipimo tosha kwa vyama hasimu

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,248
Reaction score
13,244
Ikiwa tarehe ya kuanza mchakato wa kumpata mrithi wa kiti cha ubunge wa Igunga kilichoachwa wazi na Rostam Aziz aliyejivua gamba ikitarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa.

Minyukano ndani ya chama tawala, kuimarika na kukubalika kwa CHADEMA pamoja majigambo ya CUF kuwa watalinyakua jimbo hilo na aina ya wabunge ambao Tabora imekuwa ikiwapata-wazawa wenye asili tofauti tofauti kama ilivyo Morogoro.

Inategemewa kuwa na mtifuano wa nguvu ambao utatoa picha halisi ya siasa hasa za mageuzi zinavyoweza kukubalika katika kanda hiyo yenye historia ya pekee.
 
Na kuna tetesi kuwa Rostam ataombwa kusaidia kumpigia kampeni mgombea wa chama tawala-magamba.
 
Hatubabaiki, rushwa toeni jimbo ni letu mjuage hayo.
 
Na hili likitokea basi wapinzani hawana lao , watagaragazwa mbaya !
Maghambas type Genius KULALA, hamchoki kulamba miguu na nyayo za mfisadi!!!!!!!!!!!!! Hamna lolote nyie mmebaki kutoa rushwa na takrima, bila hivyo CCM kwishinei!!!!!!!!
 
Nina hakika huko patachimbika mkuu.
 
Habari kutoka nec zinasema wagombea wa vyama vyote shiriki, kutoka Igunga watatangazwa tar 6 sept na kampeni zinaanza tar 7 sept af tar 2 october uchaguzi unafanyika. Kila la kheri cdm tuongeze nguvu bungeni.
 
Mwanzo mpya wa vyama vya upinzani kushirikiana kikamilifu na kumdhamini mgombea mmoja tu ni kuanzia pale Igunga miezi michache ijayo. Na kama ulivyosema, vyama visivyoonyesha utayari wa kushirikia huenda vikaadhibiwa baadaye na wapiga kura tunaohitaji mabadiliko ya kweli nchini.

Ikiwa tarehe ya kuanza mchakato wa kumpata mrithi wa kiti cha ubunge wa Igunga kilichoachwa wazi na Rostam Aziz aliyejivua gamba ikitarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa.

Minyukano ndani ya chama tawala, kuimarika na kukubalika kwa CHADEMA pamoja majigambo ya CUF kuwa watalinyakua jimbo hilo na aina ya wabunge ambao Tabora imekuwa ikiwapata-wazawa wenye asili tofauti tofauti kama ilivyo Morogoro.

Inategemewa kuwa na mtifuano wa nguvu ambao utatoa picha halisi ya siasa hasa za mageuzi zinavyoweza kukubalika katika kanda hiyo yenye historia ya pekee.
 
hapo ndipo tutaona kama maandamano yanafaida au bilabila?
 
Magamba wanadai wakimpeleka Nape na Chiligati watachafua hali hewa,si kutapatapa huku kweli?Ngoja tusubiri.
 
Na magamba wamejipanga kupeleka timu ya wabunge zaidi ya 20 na mshiko nafikiri watamwaga sana pamoja na fitna.Tusubiri tuone.
 
Tabora kwa ujumla imekuwa ngome ya CCM kwa muda mrefu, na ukiangalia hakuna jimbo lolote lililowahi kuchukuliwa na chama chochote zaidi ya CCM. pamoja na miundombinu duni na huduma mbovu katika mkoa wa Tabora bado watu wake wamekuwa hawana mawazo mbadala zaid ya kuchagua CCM. Tabora ni moja ya mikoa iliyonyuma sana katika huduma nyingi za kijamii na maendeleo kwa ujumla huu ni mkoa kati ya mikoa maskin katika nchi hii, lakini kuna mambo mengi yanatokea lakin nina mashaka kama wana Tabora wako tayari kuchagua vyama pinzani hili linatokana na sababu mbalimbali ikiwamo uduni wa elimu na umasikini hasa sehemu za vijijini. Lakin hilo halina maana kuwa vyama vya upinzani hawawezi kushinda najaribu kutoa mtizamo wangu.ninachowashauri vyama vyingine vitafute au viweke wagombe wenye sifa na upeo na wanaokubalika na wananchi vinginevyo jimbo hili litarudi mikononi mwa CCM. Katika kampeni za mwaka jana CCM ilishinda majimbo yote kwa urahisi kwakuwa vyama vingine vilikuwa na wagombea wengi wasio na sifa na upeo mkubwa na walikuwa hawakubaliki.Nilikuwa Tabora muda huo.

Ni mtizamo tu.
 
Back
Top Bottom