Na kuna tetesi kuwa Rostam ataombwa kusaidia kumpigia kampeni mgombea wa chama tawala-magamba.Ikiwa tarehe ya kuanza mchakato wa kumpata mrithi wa kiti cha ubunge wa Igunga kilichoachwa wazi na Rostam Aziz aliyejivua gamba ikitarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa.
Minyukano ndani ya chama tawala, kuimarika na kukubalika kwa CHADEMA pamoja majigambo ya CUF kuwa watalinyakua jimbo hilo na aina ya wabunge ambao Tabora imekuwa ikiwapata-wazawa wenye asili tofauti tofauti kama ilivyo Morogoro.
Inategemewa kuwa na mtifuano wa nguvu ambao utatoa picha halisi ya siasa hasa za mageuzi zinavyoweza kukubalika katika kanda hiyo yenye historia ya pekee.
Na kuna tetesi kuwa Rostam ataombwa kusaidia kumpigia kampeni mgombea wa chama tawala-magamba.
Maghambas type Genius KULALA, hamchoki kulamba miguu na nyayo za mfisadi!!!!!!!!!!!!! Hamna lolote nyie mmebaki kutoa rushwa na takrima, bila hivyo CCM kwishinei!!!!!!!!Na hili likitokea basi wapinzani hawana lao , watagaragazwa mbaya !
Ikiwa tarehe ya kuanza mchakato wa kumpata mrithi wa kiti cha ubunge wa Igunga kilichoachwa wazi na Rostam Aziz aliyejivua gamba ikitarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa.
Minyukano ndani ya chama tawala, kuimarika na kukubalika kwa CHADEMA pamoja majigambo ya CUF kuwa watalinyakua jimbo hilo na aina ya wabunge ambao Tabora imekuwa ikiwapata-wazawa wenye asili tofauti tofauti kama ilivyo Morogoro.
Inategemewa kuwa na mtifuano wa nguvu ambao utatoa picha halisi ya siasa hasa za mageuzi zinavyoweza kukubalika katika kanda hiyo yenye historia ya pekee.
watu wataolewa huko na kuzaa