Mi nasikiliza Redio Iman wanahubiri chuki tu dhidi ya Wakristo, nimesikiliza Sauti ya Adhana pamoja na Radio Kibra ten na mahubiri yao ni hivyo hivyo, hakuna updates za Igunga
Katika hali kama hii, kuna kila sababu ya CCM kutumia extra force kutafuta ushindi. Why??? Kujivua gamba kwa RA, kufanyika uchaguzi mpya na hatimaye CCM kupoteza Jimbo ina maana ni mwanzo wa mwisho wa dhana ya kujivua gamba ndani ya CCM. Sasa kuna makundi mawili. Wale wanaosapoti kujivua gamba leo wapo na CHADEMA. Wale wanaopinga wapo na CCM. CDM tunashinda uchaguzi huo kutokana na mgawanyiko uliopo. Mnasemaje wadau???
Mama huyu anastaili kuwa mfano mzuri kwa kina mama, Amedhihirisha kuwa anauwezo wa kufanya maamuzi huru na makini kuliko Mama yake mtu flani humu anayemuombea kanga na vilemba.
We si BAKWATA walikukataza kushabikia CDM?
Yaah huo mgawanyiko ni advantage kwa CDM lakini tatizo wtz wengi akili mgando hawatabiliki kabisa.
Mama huyu anastaili kuwa mfano mzuri kwa kina mama, Amedhihirisha kuwa anauwezo wa kufanya maamuzi huru na makini kuliko Mama yake mtu flani humu anayemuombea kanga na vilemba.
mpiga kura analalamika ameonyeshwa amefarikialikuwa analazimishwa na balozi amchague mgombea fulanini mama alafu kwa maelezo yake ni cdm live anasema anabendera ya vidole viwili nyumbani kwakeamechagua chama anachokipenda yeye hataki kuchakachuliwa watch out tbc moja
kuna baadhi ya sehemu hasa mijini wakina mama walikuwa ni wengi sana.tbc na chanel 10 wameonesha na kvangaza hilo na kunasehemu vijana wamefunika na kunamsurulu mrefu pia kuna vituo kwa sasa havina watu au wapo wachache sana.so it depends on which area and at what time dude.
Unajiongelesha kwa namna flani ya kishosti ili uonekane kama muhusika vile?? Msg sent na TBC wamekatisha shuhuli hii ya igunga ili kuficha aibu. Hapo kwenye red iyo ni hearsay and sisi tumeona live TBC.Think critically.Huyo mama inavyosemekana katumwa na CDM ili kupandisha hasira za wana Igunga dhidi ya CCM.Huyo balozi aliemtaja amefuatiliwa na hakupatikana,yaani does not exist.
Cdm wakishinda nami nitajitoa rasmi kuchangia hapa jamvini
Nadhani Chadema wange kataa hili la wapiga kura waliopoteza kadi zao, hii inaweza kutoa nafasi ya wizi wa kura hasa kama hawa wezi waliweka majina ya watu wao ambao hawakuwa na kadi za kupigia kura. Wanaweza kuwa walileta vijana wao toka sehemu mbali mbali ambao hawana kadi ila walipachika majina katika orodha ya wapiga kura. Na nini zaidi kinatumika kama utambulisho wa Mkazi pale anapokuja na dai la kuwepo jina lake huku hana kadi.
Afadhali umekubali kushindwa mapeeeema, wenzako bado hawaamini matokeo