BONDE LA KUKATA M
Member
- Mar 31, 2020
- 67
- 59
Watu wengi wanachanganyikiwa na uchaguzi unaotegemewa kufanyika hivi karibuni,kiukweli Sera huwa ni tamu kila upande has a kwa vyama vya CCM na CHADEMA,unatakiwa ujue kuwa wrote hao wapo kwa ajili ya kupata kitu nasema kupata kitu kikubwa unatakiwa kuangalia moyo wako sio Sera zao pale unapooona panakupa amani chagua chagua amani ya moyo wako usikubali kuchagua ushawishi,hapana nasema hapana chagua amani ya moyo wako.
Ukichagua amani ya moyo wako utaishi vizuri na utafurahia hata itakapo kuja vinginevyo.
Ukichagua amani ya moyo wako utaishi vizuri na utafurahia hata itakapo kuja vinginevyo.