Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,175
- 1,934
Habari wakuu,nimekua mdau wa kusoma mawazo na nyuzi mbalimbali humu JF,ukweli 99% tunajitambua,nimefikiria sana,nimewaza na kuwazua,kwa weledi wa kudadavua mambo mbalimbali ya kisiasa,kiuchumi na kijamii ambao unaonyeshwa na wadau humu,yamkini 2020 JF members PEKEE tukiruhusiwa ku-vote nchi itapata raisi bora (problem solver) hajawahi kutokea..(Ni mtazamo wangu)
Sijui wewe unaonaje,karibu kwa mawazo...
Sijui wewe unaonaje,karibu kwa mawazo...