Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu 2020 mkoa Mara

Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu 2020 mkoa Mara

Marwa Chacha

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
102
Reaction score
51
Katika Bunge lililomalizika 2015/2020 wabunge wa CCM mkoa wa mara wale wajimbo na hata viti maalum hakuna yoyote kati yao aliyejenga hoja ya mshiko na muonekano unaonekana ni hao hao ndio tena wanategemwa kurudi kugombea nafasi zao kwa awamu nyingine.

Hii inaonesha kuwa CCM mkoa wa mara hawana watu wenye uwezo wakujenga hoja bungeni bali wengi wao wanaenda bungeni kulinda mali zao tu. Uchaguzi huu ukiwa huru na haki bila CCM kutumiwa jeshi la polisi mbona mapema majimbo mengi yanaenda Upinzani.

Chadema wana wabunge wa 4 wa majimbo na moja viti maalum ila ni viongozi wenye uwezo mkubwa wakujenga hoja pia isitoshe ni viongozi ambao mpaka muda huu wanazidi kuonekana wenye nguvu zaidi katika uchaguzi huu.

Ombi langu kwa tume ya uchaguzi, Jeshi la polisi Mara huu mchezo wa msimu huu musijaribu kuegemea yoyote ule.wacheni wananchi wamuea wenyewe ni viongozi gani ambao wanawataka kwa maendeleo ya mkoa wa mara.
 
Akina Chacha mnafanya vizuri sana kwenye siasa za upinzani na mnaonesha njia, hongereni.
 
Murha Chacha, CCM hawatakubali uchaguzi uwe huru maana wanajua wataangukia pua saa 2 asubuhi
 
Mara ukisikia mtu anaitwa Mwita jua ni msaliti na mcgonganishi
 
Back
Top Bottom