Yaani Uchaguzi ukikarbia shamrashamra nyingi; mara fulani katia nia mara Membe Mara nguvu ya umma itaamua, yaani ni balaa huku na kule kila thread ukifungua ni siasa tu na buku 7 pia hawachoki kuishambulia CHADEMA. Yaani Watanzania mnasahau mambo ya msingi.
Mnaenda kwenye uchaguzi bila huru ili iweje?
Mnaenda kwenye uchaguzi bila katiba mpya ili iweje?
Nasema MTAPIGWA TU. Haijalishi mnalilia haki au mnafanya nini. Vyama vya upinzani MTAPIGWA TU isipokuwa vyama vile ambavyo vimesalimu amri ya mkuu kama NCCR na kadhalika, ila nyinyi wabishi mtapigwa tu. Hamuhoji kwanini mnapigwa? Hamuhoji kwanini kila siku mnafunguliwa kesi mahakamani? Hamuhoji kwanini sheria mbovu zinapita japo nyinyi mnapinga?
Yaani bila katiba mpya mimi msinijue na wale mliozoea kunitumia sms oooh tukapige kura ni haki yetu, nawablock.
Natanguliza shukrani zangu za dhati. Buku 7 pia nawakaribisha.
Mkulu hawez kulubali kudhalilika kuongoza miaka 5 tofauti na wenzake miaka 10. Hawezi, narudia tena hawezi. Hata mumuweke Membe sijui Tundu Lissu, ni kujisumbua tu na kusumbua watu. Kuhusu wabunge mtapewa., ila wachache sana.