Uchaguzi 2020 wale mpendao kujaza fomu za kugombea udiwani,ubunge na uraisi kuwa kazi zenu zinazoweza kipato ni wafanyabiashara wa chochote jiandaenini na Mahesabu yenu ya kodi mlizolipa
Mnaojaza kwenye fomu kuwa Ni wakulima muwe tayari kuonyesha mashamba yenu mnayolima yanayowafanya muishi
Mengine siandiki
Nakuona kwenye ubora wakoNamuonea huruma sipunda na mbowe maana hata wizi wa ruzuku uanawafanya wasipite
State agent
KabisaChini ya jiwe hamna uchaguzi bali kuna zoezi la kuonyesha ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Nao mtasusia tena au?Chini ya jiwe hamna uchaguzi bali kuna zoezi la kuonyesha ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Chini ya jiwe hamna uchaguzi bali kuna zoezi la kuonyesha ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
"If voting made any difference they wouldn't let us do it".Chini ya jiwe hamna uchaguzi bali kuna zoezi la kuonyesha ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Nao mtasusia tena au?
Chini ya awamu hii hakuna kula ruzuku pesa za watanzania bora wakajengee zahanati kuliko kuwapa watu wakale na wake zao
State agent
Basi ngojeni 2025 tuchukue nchi wazee wa demokrasia turud kwenye ushindani tena hawa waliopo hawawez kushindana mana presha hawaziwezKama mazingira ni haya haya hatutajiandikisha kushiriki huo ushenzi. Vyama kama vyama watakuwa na mtazamo wao, mimi sio mwakilishi au msemaji wa chama chochote. Lakini mimi na watanzania wengine wanaojitambua hatuwezi kushiriki upuuzi wowote.