Mndwyika.wetu
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 652
- 829
Mkuu corona inakaribia kwisha ondoa wasiwasi
Kura tutapiga
Iwe mvua iwe jua lzm tuamue hatma yetu Kama ni kubadili dereva au kuendelea na derevaNawaza tuuuuuu!!!!
1. Kama hali ya Corona ikiendelea hivi with social distancing, kutakua na shamra shamra za kampeini nchi nzima?
2. Hali ikiendelea hivi wanachi watajitokeza kupiga kura?
3. Gonjwa hili likiendelea mpaka uchanguzi KUTAKUA NA WAANGALIZI WA KIMATAIFA WATAKAO KUJA NCHINI?
Na kama tutalazimisha uchaguzi, tutafanya bila wasimamizi wakimataifa?
Chama gani kitafaidika kwa kutokuwepo waangalizi wa kimataifa?
4. Je nini kipaumbele chetu kama taifa UHAI WA WATU WETU NA AFYA ZAO au UCHAGUZI!
Mkuu corona inakaribia kwisha ondoa wasiwasi
Kura tutapiga
Sijui kwa nn mnatabisa ya kuchukua jukumu la kusemea watu wengineKwa sasa hivi chini ya awamu hii ya tano hakuna uchaguzi, bali kuna kipimo halisi cha ujinga wa mtu mweusi katika kupata madaraka. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kushiriki huo uhuni uitwao uchaguzi. Wangalau kukiwa na tume huru hapo ndio watu wengi wanaweza kujitokeza kupiga kura.
Wasiotaka kushiriki wabakie home tu kujifukiza ni heri kwenda kutoa hisia zako za kumkataa shetani na matendo yake hata Mungu asipotenda kuliko kubakia kuumiaSijui kwa nn mnatabisa ya kuchukua jukumu la kusemea watu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app