Elections 2010 Uchaguzi mkuu kufanyika kabla ya okt 2010

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,935
Reaction score
3,346
kwa wale wanaotaka kugombea uongozi ktk uchaguzi mkuu ujao wamejiandaaje iwapo mh rais atalazimika kuvunja bunge kutokana na serikali yake kushindwa kutekeleza maazimio ya bunge, inawezekana rais akachukua uamuzi huo ili kuwapoteza mafisadi ili wasipate muda wa kurudi kwa wananchi ili kuwalaghai,
 

Hii ni tetesi au wewe unafikilia hivyo?
 
nadhani hayo ni mawazo kubomoa zaidi kwa nini tusubiri mpaka serikali ivunjwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…