Wacha wagombee si ni watanzania na wana haki ya kugombea kama watanzania wengine bora watimize vigezo vinavyotakiwa, acha kuwabania.Yaleyale kama Zanzibar. Kuna kuchaguana basi nchi hii? Mgombea binafsi wa nini wakati huu? Hata kutafuta mchumba tu hauwi mgombea binafsi! Mnataka akina RA, EL, Mzee Mengi, Manji, Mtume na Nabii Mwigira, Kakobe, Sheikh Ponda, Prof Majimarefu, Dr Remmy Ongara, .....wagombee Urais?
Ndugu WC
nafikiri hapa suala si kubadili katiba hukumu iliyoko ni utata wa katiba yenyewe sehemu moja inaruhusu nyingine hairuhusu Mtikila anachosema ni katiba iheshimiwe kwa hiyo kama atashinda kesi katiba haitabadilishwa kwa sababu imeshasema wazi kila mtu ana haki ya kupiga na kupigiwa kura kinachotakiwa kubadilika ni sheria tu za uchaguzi na si katiba.
Kama ulimsikiliza vizuri alikuwa anaongelea muda. Ni swala ambalo litahitaji kubadili KATIBA. Linahitaji mchakato mrefu kidogo. Hukumu ya mahakama haibadili katiba automatically.
Yaleyale kama Zanzibar. Kuna kuchaguana basi nchi hii? Mgombea binafsi wa nini wakati huu? Hata kutafuta mchumba tu hauwi mgombea binafsi! Mnataka akina RA, EL, Mzee Mengi, Manji, Mtume na Nabii Mwigira, Kakobe, Sheikh Ponda, Prof Majimarefu, Dr Remmy Ongara, .....wagombee Urais?
Yaleyale kama Zanzibar. Kuna kuchaguana basi nchi hii? Mgombea binafsi wa nini wakati huu? Hata kutafuta mchumba tu hauwi mgombea binafsi! Mnataka akina RA, EL, Mzee Mengi, Manji, Mtume na Nabii Mwigira, Kakobe, Sheikh Ponda, Prof Majimarefu, Dr Remmy Ongara, .....wagombee Urais?
Mh... Dalili zinazidi kuonekana... Wanamtumia jamaa huyu kuandaa mazingira?.......na Sheikh Yahya nae kashatabiri Uchaguzi mwaka huu HAKUNA. tusubiri tuone
CCM watakapoona mahakama imewabana kisawasawa walitalisukuma suala hili kwenye kura ya maoni. Wana mbinu na njia nyingi za kutokea. Kwa kifupi ni kwamba wasichotaka CCM kifanyike nchi hii hakitafanyika.