Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Uwezi kuwa na harufu ya rushwa alafu uendelee kutuongoza haiwezekani kwa kweli,Malinzi kasweka lockup tu tumefika nusu final cosafa je wakimfunga si tunaenda world cup?[emoji1] [emoji1]Hahahah wale watetezi wa malinzi naona [emoji40] [emoji40]
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Sio makusudi ila kanuni inasema usipofanyiwa usaili huwezi Ku qualify kuwa candidateIla hapo kwa malinzi kwani aliacha kwenda kw makusudi?
simuungi mkono malinzi lakini kwa hili namuonea huruma