nkuwi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 4,806 Reaction score 5,347 Jul 9, 2017 #21 NIYOMBARE said: Ila hapo kwa malinzi kwani aliacha kwenda kw makusudi? simuungi mkono malinzi lakini kwa hili namuonea huruma Click to expand... Kapige naye picha segerea! CC Frank Wanjiru
NIYOMBARE said: Ila hapo kwa malinzi kwani aliacha kwenda kw makusudi? simuungi mkono malinzi lakini kwa hili namuonea huruma Click to expand... Kapige naye picha segerea! CC Frank Wanjiru
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Jul 9, 2017 #22 MANDELAA KIWELU said: Safari ya Jamal Malinzi kiuongozi ndio imefikia tamati! Kesi ya utakatishaji pesa, haijawahi kumwacha mtu salama.. Click to expand... halafu alifaiti kweli ili awe rais..kumbe anafaitia nafasi keko!..kweli binadam mpumbavu tu,haijui hata kesho yake
MANDELAA KIWELU said: Safari ya Jamal Malinzi kiuongozi ndio imefikia tamati! Kesi ya utakatishaji pesa, haijawahi kumwacha mtu salama.. Click to expand... halafu alifaiti kweli ili awe rais..kumbe anafaitia nafasi keko!..kweli binadam mpumbavu tu,haijui hata kesho yake