Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Uchaguzi wa Mwaka 2010 ni Mzuri wala hakuna wasiwasi hasa kwa Rais wetu, Huyu atapita kwa kishondo kikubwa sana, Najua maneno haya kuna baadhi yanawaudhi lakini hilo ni lao.
Mimi na Familia yangu tutampigia kikwete, Pamoja kuwa ni kura ya siri lakini mimi hilo halinipi Pressure kabisa.
Kazi iko kwa Wabunge, Yaani huwezi kuamini wengi watafirisika kwa kuhonga na tumeahidi kuzila pesa zao hizo na hatutawapigia kura.
Na baada ya Uchaguzi watakuwa Masikini wa kutubwa.
Mimi na familia yangu tuta angalia hali ikoje kwanza.

Inategemea unautafsiri vipi ushindi wa kishindo, kwangu mie kama mtu akipata zaidi ya 67%,na mpinzani wake wa karibu akawa na less than 20% huo ni ushindi wa kishindo.Unajidanganya ndugu yangu..Ofcoz ni ukweli usiopingika kwamba JK atashinda Urais ila unajidanganya kwa kusema kwamba atashinda kwa kishindo..hilo sahau.kura zake zitapungua..
naona kuko kimya kweli kama vile hakuna uchaguzi ...
[1] J M Kikwete Urais wa JMT.
[2] Freeman Mbowe Ubunge Hai
[3] A L Mrema Ubunge Vunjo
[4] Prof Lipumba Ubunge Tabora.