Loooh huo mchezo waoishajaribu zilepesa wakashindwa kugaiana huyu anasema wana wabunge wengi apate hela zaidi lohChama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyinngine zozote zilizopita...
kina kina ungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa.
Na kwahivyo ushindi wa kishindo na wa wazi sana kwa CCM unaonekana hata kabla ya uchaguzi.....
sasa katika hali hiyo,
kuna haja upinzani nchini, waunganishe nguvu au wagombee kiholela kama ilivyo zoeleka, ili tu kukamilisha ratiba ya kushiriki uchaguzi wa kidemokarasia kama ilivyokua kwenye chaguzi zilizipita?
Wakati unasubiri wakubaliane , wewe unakuwa wapi ukifanya nini ?Wakubaliane kwamba kusiwe na uchaguzi, pesa tugawiwe sisi raia tufanye yetu
Hakuna uchaguzi Tanzania bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Mtu mjinga tu, au anayefaidika binafsi ndio atajitokeza kushiriki hizo chaguzi za kishenzi kwa mazingira yanayopigiwa kelele kwa zaidi ya miaka 30 Sasa.Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyinngine zozote zilizopita...
kina kina ungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa.
Na kwahivyo ushindi wa kishindo na wa wazi sana kwa CCM unaonekana hata kabla ya uchaguzi.....
sasa katika hali hiyo,
kuna haja upinzani nchini, waunganishe nguvu au wagombee kiholela kama ilivyo zoeleka, ili tu kukamilisha ratiba ya kushiriki uchaguzi wa kidemokarasia kama ilivyokua kwenye chaguzi zilizipita?
Hakuna uchaguzi Tanzania bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Mtu mjinga tu, au anayefaidika binafsi ndio atajitokeza kushiriki hizo chaguzi za kishenzi kwa mazingira yanayopigiwa kelele kwa zaidi ya miaka 30 Sasa.Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyinngine zozote zilizopita...
kina kina ungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa.
Na kwahivyo ushindi wa kishindo na wa wazi sana kwa CCM unaonekana hata kabla ya uchaguzi.....
sasa katika hali hiyo,
kuna haja upinzani nchini, waunganishe nguvu au wagombee kiholela kama ilivyo zoeleka, ili tu kukamilisha ratiba ya kushiriki uchaguzi wa kidemokarasia kama ilivyokua kwenye chaguzi zilizipita?
Chadema hawawez kukubali sababu wanaamini wataitoa ccm wenyewe, yaani chadema ni malofa kupitilizaChama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyinngine zozote zilizopita...
kina kina ungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa.
Na kwahivyo ushindi wa kishindo na wa wazi sana kwa CCM unaonekana hata kabla ya uchaguzi.....
sasa katika hali hiyo,
kuna haja upinzani nchini, waunganishe nguvu au wagombee kiholela kama ilivyo zoeleka, ili tu kukamilisha ratiba ya kushiriki uchaguzi wa kidemokarasia kama ilivyokua kwenye chaguzi zilizipita?
Tindo atakuja kukuunga mkono sasa hivi,mwenzio kapewa banda la uwani kwenye nyumba ya mbowe machame wewe unapigwa doro hapaChama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyinngine zozote zilizopita
Kaka chama chako kipo imara Sasa huwa unawashwawashwa na Nini kuhusu upinzani?
Hii inaonesha ndani ya ccm mambo hayapo sawa.
kibaraka anataka kumshtaki Rais eti kwasababu amepiga picha nzuri sana na Mbowe na viongozi wa baraza la wanawake yeye akiwa hayupo π€£Pilipili ya WAPINZANI usoila, yakuwashia nn wewe mwana CCM?