Uchaguzi mkuu wa marudio Kenya ni 17 Oktoba 2017


Sidhani kama mpaka kufikia tarehe hiyo Kenya kutakuwa hakuna maombolezo ya msiba mkubwa.
 
Wengine waliridhika aliekata rufaa ni Odinga. Hata kama ungekuwa wewe wenzio wanashindania 6m & 5m votes, wewe una elfu ngapi sijui utarudia kufanya nini?

"A voice of one calling in the wildernes"
Uchaguzi umefutwa, sijui kama unaelewa maana ya ' kufuta' mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…