Ccm haitegemei Wapiga Kura ili iweze kuendelea kubaki madarakaniJuzi nimeota jinsi uchaguzi wa mwaka huu utakavyokuwa mgumu kutokana na wakristo wengi hawatopiga kura yaani wataususia ivyo CCM itawalazimu kuiba kura kwa kuwakusanya wanafunzi kuwapigia kura wasiopiga ila wanavitambulisho na huo uhuni utafanyikia madarasani kabisa mashuleni.....
Nchi imelaaniwa hii..kwenye mambo mazuri ya kitaifa, sherehe au maadhimisho yoyote ambayo zamani wanafunzi wa shule ktk mkoa husika walikuwa wanaandaa nyimbo nzuri, ngoma, mashairi nk kuwajengea moyo wa utaifa na uzalendo..sasa siku hizi mrisho mpoto , diamond na wasanii wengine ndio wanaalikwa halafu yale mambo yote mabaya ya wanafunzi kutikisha karatasi za kura kabla ya uchaguzi na walimu kuiba masanduku ya kura ndio wanafunzi na walimu wanashirikishwa! hii si laana..? si wawapelekee hao hao wasanii watiki karatasi za kura na kusimamia uchaguzi..?Juzi nimeota jinsi uchaguzi wa mwaka huu utakavyokuwa mgumu kutokana na wakristo wengi hawatopiga kura yaani wataususia ivyo CCM itawalazimu kuiba kura kwa kuwakusanya wanafunzi kuwapigia kura wasiopiga ila wanavitambulisho na huo uhuni utafanyikia madarasani kabisa mashuleni.....
Watakula katika mazingira gani? hamjui duniawakisusa wenzao wala