Kwani wewe unaesema wananchi wanaupenda upinzani huo utafiti umeufanya wapi?Mi huwa najiuliza hawa wanaosema wananchi wanaipenda ccm huu utafiti wanaufanya wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa watasema kwa kutumia mdomo gani?Huwezi kuwa mjenga hoja huku umejikunyata chama kinahujumiwa watu wamekaa kama hawapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi huwa najiuliza hawa wanaosema wananchi wanaipenda ccm huu utafiti wanaufanya wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu usajili unaofanyika sasa utakigharimu chama, sijaona hata mshambuliaji mmoja mwenye uwezo wa kujenga hoja.kwa sasa usajili ni wa makapi tu. Chama hakiwezi kujijenga kwa kujipima na kivuli chake chenyewe. Kwa sasa CCM haina mvuto kwa wananchi kilichobaki ni kujiaminisha kwamba chama kinapendwa.
(1) Wachumia matumbo CCM ni janga la chama
(2) Wapenda sifa wamepata pa kuonyesha mbwembwe zao
(3) Waimba mapambio nao hawajabaki nyuma.
Binafsi sioni sababu ya kusifia sifia vitu wakati huku wananchi wako hoi.
Mh Rais wangu mpendwa ukiruhusu mikutano ya kisiasa ndio utagundua usajili unaofanywa na wasaidizi wako ni wa hovyo na wala sio wa kukutakia ushindi mnono.
Ni vyema chama kihangaike na kuongeza wanachama sio hawa walafi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bila shaka ulikuwa unamaanisha Mbowe wa Chadema au sio? Maana yote yamemlenga kabisa!Wajenga hoja wapo lakini chama kimehodhiwa na mtu mmoja..
Inabidi wafuate matakwa yake ambayo mara nyingi ni kinyume cha katiba ya JMT na katiba ya chama chenyewe.
Tunayo safari ya kuvumilia mateso hadi aondoke.
Hakuna ni wale wanaonunuliwaMi huwa najiuliza hawa wanaosema wananchi wanaipenda ccm huu utafiti wanaufanya wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipimo chepesi ni hivi Halima Mdee afanye mkutano kawe na Rais Magufuli afanye mkutano Uwanjwa wa taifa wa mpira aone asivyopendwa mbona atajikataa mwenyewe.
Mi huwa najiuliza hawa wanaosema wananchi wanaipenda ccm huu utafiti wanaufanya wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana. Mna haki ya kujipa moyo!!!Kipimo chepesi ni hivi Halima Mdee afanye mkutano kawe na Rais Magufuli afanye mkutano Uwanjwa wa taifa wa mpira aone asivyopendwa mbona atajikataa mwenyewe.
Braza wala usipoteze muda wako.... Watagaragazwa tena na watakuwa kama kuku aliyenyeshewa mvuaCcm hamuipendi baadhi ya jf members ila mjue ccm ina wananchi wananchama zaidi ya 20 mil hivo endeleeni kujifariji na cdm isiyo hata na wanachama milioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa Mkuu...Tena sio kwamba hakuna mshindani, bali hutaki mshindani kutokana na kuwa huwezi ushindani. Na hiyo jeuri inatokana na matumizi mabaya ya madaraka, yanayopatikana kupitia katiba iliyopitwa na wakati.
mbana hakuna vigezo kuonyesha huo ugumu kwaoHuu usajili unaofanyika sasa utakigharimu chama, sijaona hata mshambuliaji mmoja mwenye uwezo wa kujenga hoja.kwa sasa usajili ni wa makapi tu. Chama hakiwezi kujijenga kwa kujipima na kivuli chake chenyewe. Kwa sasa CCM haina mvuto kwa wananchi kilichobaki ni kujiaminisha kwamba chama kinapendwa.
(1) Wachumia matumbo CCM ni janga la chama
(2) Wapenda sifa wamepata pa kuonyesha mbwembwe zao
(3) Waimba mapambio nao hawajabaki nyuma.
Binafsi sioni sababu ya kusifia sifia vitu wakati huku wananchi wako hoi.
Mh Rais wangu mpendwa ukiruhusu mikutano ya kisiasa ndio utagundua usajili unaofanywa na wasaidizi wako ni wa hovyo na wala sio wa kukutakia ushindi mnono.
Ni vyema chama kihangaike na kuongeza wanachama sio hawa walafi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vile wameharibu mambo mengi, basi hawana namna bali ni kuwasajili wapinzani ili kusiwepo na watu watakaoishambulia ccm na serikali yake kwenye kampeni za uchaguzi ujao.
Mada inazungumzia chama kipi?Mkuu bila shaka ulikuwa unamaanisha Mbowe wa Chadema au sio? Maana yote yamemlenga kabisa!