ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
hatimaye yale majina yaliyokuwa yanasubiriwa kwa hamu kutoka kwnye screening comittee yametoka huku ile post ya mchuano mkali ya uraisi yakitoa majina matatu kati ya yale tisa yaliyoingizwa kwnye mchujo;waliopita kuwania nafasi ya uraisi ni NIKAS G MAHINDA kutoka BBA-MARKETING,LUKIKO LUKIKO kutoka LLB na NICHOLAUS kutoka BELM wote second year.lakini NIKAS MAHINDA ndo imeonesha amekuwa na mvuto mkubwa sana wa kisiasa kwa wanafunz ambao wengi wao wanategemea kuwa mshindi wa kiti cha uraisi.kampeni ndo zinaanza leo.MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI MZUMBE