uchaguzi mzumbe universty student organization(muso)kumekucha:

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Posts
4,403
Reaction score
148
hatimaye yale majina yaliyokuwa yanasubiriwa kwa hamu kutoka kwnye screening comittee yametoka huku ile post ya mchuano mkali ya uraisi yakitoa majina matatu kati ya yale tisa yaliyoingizwa kwnye mchujo;waliopita kuwania nafasi ya uraisi ni NIKAS G MAHINDA kutoka BBA-MARKETING,LUKIKO LUKIKO kutoka LLB na NICHOLAUS kutoka BELM wote second year.lakini NIKAS MAHINDA ndo imeonesha amekuwa na mvuto mkubwa sana wa kisiasa kwa wanafunz ambao wengi wao wanategemea kuwa mshindi wa kiti cha uraisi.kampeni ndo zinaanza leo.MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI MZUMBE
 
Sasa hii inatuhusu nini hapa JF...
 
Dogo sio kila kitu kinatakiwa kuwekwa hapa uchaguzi wa mzumbe una tija gani hadi tuujadili....ebu toa huu ujinga
 
We dogo mpuuzi eeh! Badala ya kuleta walau kero za hapo mzumbe we unaleta pumba hizi?

Any way ndo uhuru wa maoni huo.
 
We dogo mpuuzi eeh! Badala ya kuleta walau kero za hapo mzumbe we unaleta pumba hizi?

Any way ndo uhuru wa maoni huo.

what's the difference akileta kero au akileta elections?
mbona unawaza keroooo tuuuh???? life has other dimensions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…