Uchaguzi ni mchakato wa amani, huru na haki. Waziri Mchengerwa anapaswa ajiuzulu kutokana na mauaji ya watu watatu katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi.
Kama mhusika Mkuu wa uchaguzi husika anapaswa awajibike kutokana na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi. Kama hatajiuzulu mwenyewe ni vema Mamlaka yake ya uteuzi imchukulie hatua kutokana na yaliyotokea katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi na siku ya uchaguzi wenyewe.
Ni vigumu kuendelea kuaminika kutokana na yaliyotokea katika kipindi cha uongozi wake.
PIA SOMA
- LGE2024 - Waziri Mchengerwa jiuzulu, umeshindwa kusimamia mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa