Mgombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambaye pia ni Kaimu Rais wa Shirikisho hilo, leo amehojiwa na TBC1 na kuelezea. Kauli mbiu yake na kufafanua vipaumbele vyake endapo atachaguliwa. Kauli Mbiu: UWAZI, UWADILIFU, UWAJIBIKAJI NA MAENDELEO
VIPAUMBELE 11:
1. Nidhamu na Muundo wa mfumo wa TFF
2. Maendeleo ya Soka ya Wanawake, Vijana na soka ya Ufukweni
3. Mafuzo na ujenzi wa uwezo kwa Makocha, watawala, mafunzo ya utabibu, Waamuzi, wakufunzi wa kitaifa, watendaji na viongozi wa vilabu n. k.
4. Usimamizi na Nidhamu ya matumizi ya Mapato ya fedha.
5. Kutoa MIL. 15 ya Maendeleo kwa kila Mkoa
6. Kushirikiana na wadau wa viwanja Kama Chama cha Mapinduzi Halmashauri za mitaa ili kuboresha Viwanja hivyo na kuwekeza Katika vituo vya Karume na Tanga
7. Tathmini ya Muundo mzima wa Bodi ya Ligi na kuipa uhuru zaudi
8. Kushirikiana na Serikali , FIFA, CAF Wanahabari na Wadau wengine ili kuboresha mawasiliano kwa wanafamilia ya mpira.
9. . Kuboresha Kalenda ya Mashindano na usajili kitaifa.
10. Uimarishaji wa mifumo ya kumbukumbu
11. Kuanzisha mfumo wa kuwa na orodha ya Waamuzi inayozingatia ubora na weledi ili kukabiliana na changamoto za Waamuzi.
Nimejaribu kuorodhesha kwa kifupi yote aliyoyaongelea bwana Karia. Sina uhakika Kama Wagombea wengine wana vision na mission Kama ya KARIA. laiti Kama ningekuwa mmoja wa wapiga Kura hiyo tarehe 12/08/2017 Dodoma,. Ningetumia muda wangu kuwashawishi wapiga Kura wenzangu tumpe Kura huyu bwana, ana "focus" mbali katika kuendeleza Soka la Tanzania . Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF, hii ni lulu msiiache ikapotea.