UCHAGUZI TFF: Rais bora kabisa Jamal Malinzi kuendelea na wadhifa wake

Malinzi out. Hatuwwtaki wahaya kwenye soka.

Hawajui kitu kabisa.
 
Anafaa sana tena. Amefanya kwa kiasi kikubwa, let give him another term to finish his plans! Tuache mambo ya uroho! Mpe muda amalizie kazi aliyoianza.
Teacher can teach but students refuse to learn! kwa msenmo huo amejitahidi sana, kama umenielewa.
 
nIMEWAAMBIWA NAITWA PDIDY USIKU WA MANANE SIKOSEI HATA SIKU MOJA WASUBIRIE MOTO WA JAMAL
 
Alianza vizuri mno.

Akaacha ofisi za TFF na kwenda kupanga Town Centre hadi FIFA wenyewe walipomwambia arudi Karume akiwa na mkia ndani. Pango lilishafika Shs million 400!

What a President!
 
Alianza vizuri mno.

Akaacha ofisi za TFF na kwenda kupanga Town Centre hadi FIFA wenyewe walipomwambia arudi Karume akiwa na mkia ndani. Pango lilishafika Shs million 400!

What a President!
amethubutuu huyo ndio tunamtaka
 
KAMA NAUONAAA ULE USIKU UJAOOO
RAIIIS WA TFF NIIIIIII......JAMAAAAL MALINZI

MAKAMUU WAKE NI MICHAEEEEL WAMBURAAA

MTANIAMBIAAA WAPWA ....UKITAKA NIWEKEE NAWAJUMBE NAWAWEKEA HAPAA
 
kampeni tayari??
Kmpeni aifanyiki jf mkuu huku tunatoa mawazo kuendeleza soka letu mawazo yako na yangu yanaweza badilisha wajumbe wasikosee kuleta mamluki na kuwaacha viongozi bora kabisa kaama Jamal malinzi..((nawakilisha)
 
KAMA NAUONAAA ULE USIKU UJAOOO
RAIIIS WA TFF NIIIIIII......JAMAAAAL MALINZI

MAKAMUU WAKE NI MICHAEEEEL WAMBURAAA

MTANIAMBIAAA WAPWA ....UKITAKA NIWEKEE NAWAJUMBE NAWAWEKEA HAPAA
Huyo akiwa Makamu wa Rais TFF, Malinzi atajuta kuzaliwa Bongo
 
Malinzia kashindwa kilabuni Yanga akatimuliwa na sasa pale TFF watu walipiga kura kwa mihemko mwaka 2013. Mwaka huu lazima wajumbe wamtimue hata kama alishawapanga.
 
Wewe utakuwa nshomile
 
Tunataka maendeleo mkuu atuangalii usimba na yangaa kamwe
Mkuu, wapo Simba wengine wazuri tu. Huyo aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa muda FAT. Tena alipewa na Kapuya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…