Uchaguzi UDSM

mkalimwafrika

Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
45
Reaction score
7
jumatatu ni uchaguz wa kumpta rais na msaidzi wake hap ud..katk hali icyo kuw y kawaida uchaguz huu unafanyik wakati ambapo wana udsm wana mwitikio mkubwa wa kupiga kura..hii inasababishwa na serkali ya DARUSO kutuhumiw kumwek aliye kuw wazir mkuu Yasin yusuph ili apitishwe na kushindanishw n kijana anaye onkana kuwa mdogo san Kisango Evance ili ashindwe n huyo wazr mkuu anay maliz muda wak ambay anatuhumiw kutofanya lolote akiw madarkan.....

my take
wana udsm tuwe mfano bora ktk kuelkea ukomboz wa taifa letu kw kupinga viongoz wasio hitaji mabadilko ila tumchague mtu atakaye tutetea sis wasomi wa taifa hili..thanx
 
...chagueni chadema tu...
 
chakupaswa kufahamu ss wana udsm s kumchagua 2 raisi bali ni kuchuja ipi ni pumba na upi ni mchele?
je wazani ss 2kiwa shule za msingi na sekondari 2likuwa 2nampenda mwalimu wa aina gan?
Labda nadhani mwalimu mpole na asiyejua kufuatilia wanafunzi, sote tuwe mabalozi kumchagua kiongozi ambaye leo na kesho atasimamia mambo yanayotekelezeka kwa kupima uwezo wa sera zake mwenyewe lasi hiyo yule umtazamiaye ni weak leo ADMINISTRATION Watajivunia kuwa nae kwani hato weza kusikiliza na kutetea maslai ya umma wa udsm.

ANGALIZO
.TUSIMCHAGUE MTU KUTOKANA NA UKOLAGE.
.TUANGALIE KATI YA WAGOMBEA WATATU YUPI ATAWEZA KUTUWAKILISHA VYEMA BILA KUMUUKUU MTU KWA KOSA ALILOFANYA KIONGOZI ALIYEPITA
.KUNA MGOMBEA WANAMWITA JEMBE Nadhani anatisha majukwaani
.
 
..chadema....chadema msifanye makosa.
 
Pigia kura kisanko a.k.a mtoto wa mkulima kama anavojulikana.
 
tunajua fika uhuni unaofanywa na daruso na lengo lao nasi bila ajizi tutamweka mtoto wa wakulima bwana KISANKO,kamwe hatuwezi rudisha kiongozi ambaye hajafanya chochote katika uongozi wake cha kukumbukwa na wana udsm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…