Yaani CCM wajifunge wenyewe?Ni vyema ikafanyiwa marekebisho ya kisheria hii tume ya uchaguzi
Wajifunge au wasijifunge ila mda wa mabadiliko ukifika none of that matters.Yaani CCM wajifunge wenyewe?
Ccm ingekuwa na uhakika wa kushinda, haya mapendekezo yako yangefanyiwa kazi.Tume Huru ya Uchaguzi ni vema ikatenda HAKI kwa asilimia mia moja. Iachane na makosa madogo madogo/ pingamizi kwa mfano.
(1) Mtu kukosea herufi ya jina lake au chochote kilichoandikwa kwenye fomu yake ya kugombea.
(2) Iachane na vyombo vya usalama vinavyotumia nguvu kubwa.
(3) Iachane na kuwatumia Watumishi wa umma katika uchaguzi huu na mwisho iachane na kuwaengua wakala wa vyama pinzani.
Naishauri Tume Huru kuwaajiri vijana wengi waliomaliza Vyuo mbalimbali na wapo mitaani kusimamia uchaguzi huu wa Oktoba, 2025.
Haki itendeke aliyeshinda atangazwe na kusiwe na figisufigisu wa aina yeyote ile.
Sisi waoga mkuuWajifunge au wasijifunge ila mda wa mabadiliko ukifika none of that matters.
CCM ni sawa na mashetani tu yenyewe hayajali chochote wanachotaka ni madaraka tu,hawajali wanayapataje.
Na hawatatoka hata siku moja kupitia sanduku la kura,Watanzania tulijue hilo.
Bila ya mabadiliko ya Tume huru ya uchaguzi CCM mwaka huu utakuwa ukomo wenu wa madaraka tumewachokaTume Huru ya Uchaguzi ni vema ikatenda HAKI kwa asilimia mia moja. Iachane na makosa madogo madogo/ pingamizi kwa mfano.
(1) Mtu kukosea herufi ya jina lake au chochote kilichoandikwa kwenye fomu yake ya kugombea.
(2) Iachane na vyombo vya usalama vinavyotumia nguvu kubwa.
(3) Iachane na kuwatumia Watumishi wa umma katika uchaguzi huu na mwisho iachane na kuwaengua wakala wa vyama pinzani.
Naishauri Tume Huru kuwaajiri vijana wengi waliomaliza Vyuo mbalimbali na wapo mitaani kusimamia uchaguzi huu wa Oktoba, 2025.
Haki itendeke aliyeshinda atangazwe na kusiwe na figisufigisu wa aina yeyote ile.
Polisi wakikaa kando hata walemavu wa miguu watatembea kuandamana ila saizi ukinyanyua mdomo kuongea kesho na kesho kutwa tunakusikia umetekwa na watu wasiojulikanaSisi waoga mkuu
Hatuna umojaPolisi wakikaa kando hata walemavu wa miguu watatembea kuandamana ila saizi ukinyanyua mdomo kuongea kesho na kesho kutwa tunakusikia umetekwa na watu wasiojulikana
Tume Huru ya Uchaguzi ni vema ikatenda HAKI kwa asilimia mia moja. Iachane na makosa madogo madogo/ pingamizi kwa mfano.
(1) Mtu kukosea herufi ya jina lake au chochote kilichoandikwa kwenye fomu yake ya kugombea.
(2) Iachane na vyombo vya usalama vinavyotumia nguvu kubwa.
(3) Iachane na kuwatumia Watumishi wa umma katika uchaguzi huu na mwisho iachane na kuwaengua wakala wa vyama pinzani.
Naishauri Tume Huru kuwaajiri vijana wengi waliomaliza Vyuo mbalimbali na wapo mitaani kusimamia uchaguzi huu wa Oktoba, 2025.
Haki itendeke aliyeshinda atangazwe na kusiwe na figisufigisu wa aina yeyote ile.
Tume Huru ya Uchaguzi ni vema ikatenda HAKI kwa asilimia mia moja. Iachane na makosa madogo madogo/ pingamizi kwa mfano.
(1) Mtu kukosea herufi ya jina lake au chochote kilichoandikwa kwenye fomu yake ya kugombea.
(2) Iachane na vyombo vya usalama vinavyotumia nguvu kubwa.
(3) Iachane na kuwatumia Watumishi wa umma katika uchaguzi huu na mwisho iachane na kuwaengua wakala wa vyama pinzani.
Naishauri Tume Huru kuwaajiri vijana wengi waliomaliza Vyuo mbalimbali na wapo mitaani kusimamia uchaguzi huu wa Oktoba, 2025.
Haki itendeke aliyeshinda atangazwe na kusiwe na figisufigisu wa aina yeyote ile.
Bila sheria kubadilishwa kwenda kupiga kura ni ujinga!
Polisi wakikaa kando hata walemavu wa miguu watatembea kuandamana ila saizi ukinyanyua mdomo kuongea kesho na kesho kutwa tunakusikia umetekwa na watu wasiojulikana