Uchaguzi 2020 Uchaguzi ukishapita na CCM kushinda Mabeberu watawakana vibaraka wao

Uchaguzi 2020 Uchaguzi ukishapita na CCM kushinda Mabeberu watawakana vibaraka wao

Zanika

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1,316
Reaction score
752
Uchaguzi ukiisha matajiri wataendelea kufanya biashara na serikali huku wakiachana na vibaraka wao. Hakutakuwa na burned Visa wala kikwazo chochote.

Matapeli na wapiga deal za uchonganishi watakuwa hawana issue bali kusubiri ikaribie uchaguzi mwngine wazushe zengwe tena kisha wavute $$$ haramu kama kawa.

Hii ndio kazi ya vibaraka tusitegemee kuwa wataisha kamwe sababu wao kwao ni kupiga hela bila kujali nani ataumia.

Tutawasikia na kushuhudia baadhi ya vibaraka wakirudi kuisifia serikali wakitubu kwa paroko na maisha yataendelea.
 
Unafanya kazi tume ya uchaguzi? mbona umeamka mapema!!
 
Back
Top Bottom