uchaguzi umepita lakini sio mbaya tukijukumbusha baadhi ya matukio

Du...Hii sikuiona hata nyakati zile za uchaguzi....ni ya ukweli aisee!
 
Ha ha ha! Ni kama anasema: "T-shirt na kofia zenu ntavaa lakini kura yangu kwa mnyika na CHADEMA" na kweli tunaamini ametenda hivyo, si unamuona Mnyika mjengoni?


Mtaani niliko ilikuwa maarufu sana hii. Siku ya kampeni za JK watu wakaamka asubuhi kwenda kuwahi T-shirt na Kofia na bendera.

Mkutano ulipoisha watu wako ndani ya uzi wa kijani na njano alafu vidole viwili juu. Acha FFU washuke kwenye magari. Mbona watu walitafutana.

Wenyewe wanasema, KODI YETU HII, WOte tunahaki ya kufaudu
 

haswa
 

picha ya kwenye kampeni. Picha hii imechakachuliwa na CCM ili kuonekane kulikuwa na nyomi kumbe hakuna kitu! CCM noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…