Negotiator
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 303
- 44
Kama swala ni kuimba kwenye kambeni basi jua wapo kazini kama alivyokuwa mabere marando na watuhumiwa wa ufisadi aliowataja Padri slaaWanafagiliaaaa.
Msanii wa kweli hapelekwi-pelekwi kipuuzi.
Hakuna msanii pale wote ni chariot chasers period.
Wanasiasa wanapohitaji huduma yako wanakuchukulia kama toilet paper. Wakishakutumia wanakutupa ******[/QUOTE
Haswaaaaaaaaaaaaaaaaah
Wasanii wetu kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita walisikika wakilalama kua wametelekezwa na JK kinyume na alivyoahidi wakati wa kusaka kura. leo kwa kuganga njaa ya msimu wanajitutumua kumfagilia yule yule waliyelalama kawatupa. Siasa hizi za CCM haziwageuzi wasanii hawa kua madekio? Na wenyewe(wasanii) wameafiki hilo