hakikaMabadiliko yanahitajika sio tu kubadili jina la tume kuwa Tume huru ya....bali mabadiliko hasa ya kimfumo.
CCM ndiyo janga letu TanzaniaKwa mwenendo wa matukio yanayoendelea ni dhahiri kuwa uchaguzi utakaofanyika utagubikwa na upendeleo na unyang'anyi wa haki za wananchi.
Utaegemea upande fulani wenye nguvu, na sio kufuata misingi ya uchaguzi huru na wa haki.
Kura zitakuwa sawa na kuchagua:
Kijani ni ipi kati ya hizi?
kijani
nyekundu
Tunakoelekea kuzuri watu na jamii inaanza kubadilika taratibu tutafikaHiki chama kimekita mizizi tokea kinaitwa TAA, TANU mpaka CCM kiliweka mifumo kandamizi huku kikikubali mfumo wa vyama vingi uwepo
Akili za CCM kuchezea akili na muda wa Watanzania.Kwa mwenendo wa matukio yanayoendelea ni dhahiri kuwa uchaguzi utakaofanyika utagubikwa na upendeleo na unyang'anyi wa haki za wananchi.
Utaegemea upande fulani wenye nguvu, na sio kufuata misingi ya uchaguzi huru na wa haki.
Kura zitakuwa sawa na kuchagua: Kijani ni ipi kati ya hizi?
Kijani
Nyekundu
Kweli kabisa.kila lenye mwanzo lina mwisho, mwisho wa utawala wao utafika sijui lini lakini utafika sasa wana miaka 60+ mwisho wao utafika hata kama itahitajika miaka 100
No reform no electionNape alisema kilichotakiwa kusemwa, aliubainisha ukweli.