OMG.... WTF.... KMA!!!!!
Kitila na wenzako, this is not good aisee, hebu wekeni mambo sawa na muwe organized; chadema sasa ni another level kwahiyo wekeni vitu sawa. Ikibidi ajirini full time people wawafanyie protocol and procedure management na kama mnao watoeni muweke wengine hao wamefeli!! hatujasahau ya kule kusini mlivyotolewa kwenye uchaguzi, fomu imechukuliwa kabla ya confirmation ya mgombea
WE LOOK TO YOU FOR QUALITY, CHANGE NOW!!!
Source: HabariLeo....mhariri Michuzi
Kama alivyosema Dr Slaa marupurupu ya wabunge ni makubwa sana, wekeni kanuni mbunge wa CHADEMA atoe 50% ya marupurupu yake kwa ajili ya shughuli za uhai wa chama tuone ni wangapi bado watataka huo ubunge.
Mwalimu,Dr Mkumbo alishindwa kweli kusimamia mkutano na kuhakikisha maadili ya chama yanafuatwa? Kama hawezi kusimamia mkutano ataweza makubwa zaidi huko mbele? Au amefanya makusudi? Ni lazima kujiuliza.
Dr Mkumbo, we judge people by the results of their work.
CHADEMA iwe macho sana.