Uchaguzi 2020 Uchaguzi wa 2020 Kuna Hatari Wapinzani wasipate hata Jimbo Moja

Mbona mimi Nipo kati ya Makundi hayo na asubuhi ntakua na kadi yangu mapema kumpigia Baba Lao Jpm Kura..kwanza Sio haja ya uchaguzi manake wapinzani wataaibika mnoo


Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutaja hapo km mchumia tumbo na mtaka vyeo ww sio Mtz hujui adha ya watz
 
Nimekutaja hapo km mchumia tumbo na mtaka vyeo ww sio Mtz hujui adha ya watz
Citizen by Birth blaza...Mtz wa leo ana shida gani Elimu bure, mshahara kwa wakati, dawa za kutosha, wazee wamepewa vitambulisho vya matibabu, umeme mpaka vijijini nini wataka zaidi kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtahujumu uchaguzi sawa hata hivyo wewe siyo msemaji wa wapiga kura
 
Upinzani utakuwepo ule wa geresha kama ule wa Rwanda au Zaire ya Mobutu. Wapinzani wa kuchongwa na chama tawala. Mwaka ujao wabunge wa upinzani watatokea NCCR Mageuzi na ACT, na wote watapewa ubunge on a silver platter ili wawe na adabu. Watakuwepo wachache sana kama chachandu kwenye mlo.
 
Kweli, ccm viti vyote, kwa njaa walivyoiongeza TZ kila mtu anahemea cha jio.
Hakuna atakaye kwena kupiga kura ila mwenye kupewa buku 7 . zaidi ya 1/2 ya watanzania hawatopiga kura. Njaa imekuwa kali mno.Watao kwenda kupiga kura hta wakiwapa wapinzani, itashinda ccm.
Vipigo na vikwazo vya polisi vitatawala kwenye kampeni.Kwa hivyo
Lazima ccm itashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuma ya kauli hizi kuna mkakati,inaeleweka kuwa kwa tume huru ccm na chadema watagawana majimbo lkn kwakuwa upo mkakati chadema isipate jimbo hata ili kuifuta chadema basi suala la tume huru ni kitendawili kisichopendwa na ccm. Wapo tayari kuwagawia nccr majimbo ili tu chadema isiwepo ndani ya bunge na kwenye halmashauri. Wito kwa chadema ni kutokubali hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni porojo tu na kauli za kujifariji lkn wanajua kuwa wamepanga chadema isipate jimbo hata moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…