Pre GE2025 Uchaguzi wa 2025 tuchague Rais mwingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kabisa CCM ni genge la wahuni tuwakatae.
 
SAMIA yupo vizuri kuliko hata yule marehemu tulio kwenye system tunajua hilo
 
Mama Samia ni mwema na rais Bora anayefuata misingi ya Sheria .


Huyu ndo wakuongezea akimaluza 2030!

Atakayefuata awe ridhiwani au mwinyi au mchengelwa au jeska.


Watoto WA wanyonge ni makatiri sana wakipata madaraka . Hawafai
 
Jamani samahanini natoka nje ya mada ila sio sana.
Jamani mwenye kitengo cha mawasiliano serikalini amuambie yule mtu anayetuma ujumbe wa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwamba arafa alizotuma zinatosha.

Simu zinapokea ujumbe mmoja kila mara inakera jamani.

Watu tumeshafahamu kuna kujiandikisha inatosha jamani maana jumbe zimekuwa nyingi mno.
 
Mwisho leo hutopokea tena mpk mwakan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…